Mganda huyo ametua Simba baada ya mvutano mkali na klabu yake ya zamani ya Azam fc. Mchezo wake wa kwanza akiwa Msimbazi utakuwa dhidi ya Azam fc pale Taifa baada ya wiki mbili zijazo.
Hivi Simba imeshaenda Unguja kujiandaa na mechi?? Mi sijawahi kusikia Real Madrid inaenda Ibiza kujiandaa na El Classico.. Mpira wa Tz mnapotezeana muda tu

...unavifahamu viwanja vya real madrid wanavyofanyia mazoezi? vinaitwa valdebebas, vipo kwny mazingira yaliyotulia,Msimbazi unataka wafanyie mazoezi wapi?