Umeshuka xana boss, hyo kitu bado ina upya upyaa wake...... Kosa niliover chaji nikapunguza uwezo wa battery hvyo itahitaji new battery (sh. 62,000/= hv) ndimana nimeuza bei hyo, mana nimenunua Dec 2018 sh. 480k.......so kwenye pesa yako add 20k.....au nipgie/txt whtsapp 0718 321418........ BossKula 300k iyo laptop