Hizo simu used zinauzwa kutokana na matatizo gani?
sasa hizo za kutupwa si zitakuwa zimekwisha xpire?
Mmmh! Mi CCM siwaamini hata kwenye biashara, ukute famba zote hizo.
Ntakucheki ninunue, kumbe huwa mna ka akili ka ujasiriamali pia, kutafuta vijsenti.. hongera! achana na bk7 bna.. CCM inawenyewe, na wanafanyaga mabiznes na mabiashara!!
nataka nikuone ulivyo na mabandiko yako!
Wadau,
Kwa kuthamini sikukuu ya x-mas nawaletea kwenu bidhaa kali ila kwa bei ya kutupa kabisa.
Products zenyewe ni kama vile:
iPhone 5 (used) kwa bei ya Tshs. 750,000 tu. Simu ni nyeupe na software yake ni iOS7.
Galaxy S4 (used) kwa bei ya Tshs. 720,000 tu.
Sony erickson X10 (used) kwa bei ya Tshs. 220,000 tu.
hTC chacha MPYA kwa Tshs. 200,000 tu.
Karibuni.
Kaka kwa iphone mbona hatuoni 5s na c? Nina iphone 5, walau nilitegemea kuona 5s au hata walau c!!!
Mkuu,
Huku kwenye jukwaa hili wateja wangu wengi ni CHADEMA. Hivyo siasa huku hatuipi kipaumbele, huku kikubwa ni kuhakikisha unakuwa mwaminifu katika kuuza bidhaa pamoja na kumridhisha mteja kwa kutimiza matarajio yake kwenye bidhaa husika.