Offer x-mas: Jipatie smart phones kwa bei ya kutupa.

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Wadau,

Kwa kuthamini sikukuu ya x-mas nawaletea kwenu bidhaa kali ila kwa bei ya kutupa kabisa.

Products zenyewe ni kama vile:

•iPhone 5 (used) kwa bei ya Tshs. 750,000 tu. Simu ni nyeupe na software yake ni iOS7.

•Galaxy S4 (used) kwa bei ya Tshs. 720,000 tu.

•Sony erickson X10 (used) kwa bei ya Tshs. 220,000 tu.

•hTC chacha MPYA kwa Tshs. 200,000 tu.

Karibuni.
 
Mmmh! Mi CCM siwaamini hata kwenye biashara, ukute famba zote hizo.
 
sasa hizo za kutupwa si zitakuwa zimekwisha xpire?

Hahaha...you're so fun. Hapana mkuu, hakuna product hata moja iliyopo mikononi mwangu ambayo ime-expire. Bidhaa ni used ila hakuna hata moja yenye scratch, zipo kwenye hali nzuri na zenye kuridhisha.
 
Mmmh! Mi CCM siwaamini hata kwenye biashara, ukute famba zote hizo.

Mkuu,

Huku kwenye jukwaa hili wateja wangu wengi ni CHADEMA. Hivyo siasa huku hatuipi kipaumbele, huku kikubwa ni kuhakikisha unakuwa mwaminifu katika kuuza bidhaa pamoja na kumridhisha mteja kwa kutimiza matarajio yake kwenye bidhaa husika.
 
Ntakucheki ninunue, kumbe huwa mna ka akili ka ujasiriamali pia, kutafuta vijsenti.. hongera! achana na bk7 bna.. CCM inawenyewe, na wanafanyaga mabiznes na mabiashara!!

nataka nikuone ulivyo na mabandiko yako!
 
Point noted...karibu sana na nitafurahi kukuhudumia.
 
Wadau,

Kwa kuthamini sikukuu ya x-mas nawaletea kwenu bidhaa kali ila kwa bei ya kutupa kabisa.

Products zenyewe ni kama vile:

•iPhone 5 (used) kwa bei ya Tshs. 750,000 tu. Simu ni nyeupe na software yake ni iOS7.

•Galaxy S4 (used) kwa bei ya Tshs. 720,000 tu.

•Sony erickson X10 (used) kwa bei ya Tshs. 220,000 tu.

•hTC chacha MPYA kwa Tshs. 200,000 tu.

Karibuni.

Kaka kwa iphone mbona hatuoni 5s na c? Nina iphone 5, walau nilitegemea kuona 5s au hata walau c!!!
 
Kwa soko kama la Bongo, na ukichukua iPhone models zote, ni iPhone 5 ndiyo yenye soko vibrant kulinganisha na iPhone hizo zingine. Hiyo ni kutokana na ukweli kwamba, kuna tofauti ndogo sana kati ya hizo models mbili (yaani iPhone5 na iPhone 5s). That's why mimi nimejikita sana kuuza iPhone 5.
 
Mkuu,

Huku kwenye jukwaa hili wateja wangu wengi ni CHADEMA. Hivyo siasa huku hatuipi kipaumbele, huku kikubwa ni kuhakikisha unakuwa mwaminifu katika kuuza bidhaa pamoja na kumridhisha mteja kwa kutimiza matarajio yake kwenye bidhaa husika.

Haya mkuu, nilikuwa natania tu kaka.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom