Typing error mkuuKama kweli mpaka na "wife" basi bei ni ndogo mkuu.
Au wife amekukosea nini.
Inaelekea anamuuza na Wife ili kurudisha mahari yake aliyolipa wakati anaoa.Kama kweli mpaka na "wife" basi bei ni ndogo mkuu.
Au wife amekukosea nini.
Inaelekea anamuuza na Wife ili kurudisha mahari yake aliyolipa wakati anaoa.
Inaelekea anamuuza na Wife ili kurudisha mahari yake aliyolipa wakati anaoa.
Ok sawa,atuwekee picha kwanza.Typing error, turudi kwenye maudhui ya uzi.
Ok sawa,atuwekee picha kwanza.
Kapicha muhimu ila naweka ofa yangu 150kDell inspiron inauzwa bei ya kutupwa laki mbili tu.maelewano yapo haina tatizo lolote lile
Ipo window 10pro activated
Webcam ,wifi. bluetooth
Proccesor inter( R) Atom CPU @1.60GHz
Ram 2gb
Hdd 150gb. Haya karibuni pm napatikana dar.
Whatsap +255625538475
Dell inspiron inauzwa bei ya kutupwa laki mbili tu.maelewano yapo haina tatizo lolote lile
Ipo window 10pro activated
Webcam ,wifi. bluetooth
Proccesor inter( R) Atom CPU @1.60GHz
Ram 2gb
Hdd 150gb. Haya karibuni pm napatikana dar.
Whatsap +255625538475
Picha njoo whatsap mkuu kwa no tajwa hapoKapicha muhimu ila naweka ofa yangu 150k
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama kweli mpaka na "wife" basi bei ni ndogo mkuu.
Au wife amekukosea nini.
Huu sii uungwana, hukuulizwa utoe ushauri kuhusu Dell, unachofanya ni kuvuruga biashara ya mwenzio.Dell ni takataka usinunue, acha kabisa. Yana technical faults nyingi toka kiwandani. Acha kabisa
Huu sii uungwana, hukuulizwa utoe ushauri kuhusu Dell, unachofanya ni kuvuruga biashara ya mwenzio.
Ungejikita kwenye hoja ingependeza.
Huu sii uungwana, hukuulizwa utoe ushauri kuhusu Dell, unachofanya ni kuvuruga biashara ya mwenzio.
Ungejikita kwenye hoja ingependeza.
Uungwana ni vitendo, hakika unaheshima kubwa jukwaani kwa maandishi niliyokunukuu.Appology
Uungwana ni vitendo, hakika unaheshima kubwa jukwaani kwa maandishi niliyokunukuu.