Ofa ya kutengeneza website Tsh 120,000/= kila kitu

[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Good!!
 
Mkuu hongera sana kwa hii ofa yako.

Nitakutafuta baada ya kama 30 days hivi.

Ukiona kimya usisite kunijulisha.

Hatimaye kuwa na website imekuwa sio kitu ya gharama tena.
 
Mkuu hongera sana kwa hii ofa yako.

Nitakutafuta baada ya kama 30 days hivi.

Ukiona kimya usisite kunijulisha.

Hatimaye kuwa na website imekuwa sio kitu ya gharama tena.

Ukikaa kimya sana nitakukumbusha.
 
Mkuu unazo kazi ambazo umeshafanya? Kama zipo naomba utuonyeshe ili tuone ubora wa kazi zako Imani2
 
Mkuu unazo kazi ambazo umeshafanya? Kama zipo naomba utuonyeshe ili tuone ubora wa kazi zako Imani2

Cha msingi ni kwamba kama unahitaji website unanieleza kwanza Kuwa una interest hiyo. Zipo kazi nilizofanya na siwezi kujaza links hapa niishie kupewa adhabu/faini ya SEO (SEO penalty) na Google. Na JF pia hawapendelei ndio maana niliweka wakaitoa. Nipe email yako inbox nikutumie.
 
Salam wakuu.
Kama kuna mtu anahitaji kutengenezewa website safi ya kisasa na inayofunguka kirahisi kwenye simu(responsive) kwa bei cheap tu niibox tufanye kazi.
Mwaka huu hakuna ofa
 
Weka testimony ya kazi zako tuone....maana wanaofanya hizo kazi official wanachaji pesa nyingi saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…