Ofa ya 10mil kwa kiwanja

Mkuu kutoka Tegeta mpaka zinga haiwezi kuwa hizi Km 8, ni km 31 mwendo wa 50min kwa gari.

 
ama kweli mambo yamebadilika ! sasa ukiwa na hela na fedha ndio unawaita wauzaji ! Miaka mitano nyuma hapo lazima upitie kwa dalali na upigwe!Ardhi imepanda thamani na imeshuka bei! 😀
Na wauzaji wanajisalimisha mara moja😁..... Unachagua mwenyewe..... Mambo yamebadilika sana sana
 
Kingine nnacho kigamboni kipo dege njia ya kushoto kabla ya yale magorofa ya dege kina sqm 920 ndo nifanya upomaji ,hiki ni kizuri sana nnavyo vinne aina hiyo
Vinne sehemu moja, au?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…