OFA! OFA! OFA! OFA! OFA! OFA!
Pata website yako binafsi (personal website) kwa bei rahisi kabisa ya Tsh 100,000/= tu. Webiste binafsi ni tovuti yenye jina lako, kwahiyo kama wewe unaitwa
John Kisanuke basi tovuti yako itakuwa
www.johnkisanuke.com na unapewa tovuti yenye sifa zifuatazo;
1.
Tovuti kamili yenye blog ndani yake kwa ajili ya kuweka makala mpya (updates) za shughuli zako kila siku au utakapojisikia wewe.
2.
Unlimited emails (akaunti za barua pepe bila kikomo) yaani
info@johnkisanuke.com na zingine nyingi kadri upendavyo wewe, hivyo unaweza kufungua email ya mkeo mfano kama mkeo ni Sikujuwa basi unapata
sikujuwa@johnkisanuke.com , email kwa watoto wako na wengine wengi utakaotaka wewe.
3.
Unlimited disk space (stoo ya kuhifadhia data za tovuti yako bila kikomo), kwahiyo unaweza kuweka kurasa, picha, sauti (audio), na video bila kikomo bila kujaa.
4.
Unlimited bandwidth (idadi ya watu wasio na kikomo), tofauti na tovuti zingine, hii itakuwezesha kuwaweka watu kwenye tovuti yako wasio na idadi au kikomo, hivyo kwa wakati mmoja wanaweza kutembelea watu zaidi ya milioni 1 au hata zaidi kwa mwezi bila shida yeyote.
5.
Friendly User Interfaces (huhitaji kuwa mtaalamu sana), ili kui-update website yako huhitaji ujuwe vitu viiiingi sana kuhusu tovuti, mimi nitakuwekea mfumo rahisi wa ku-edit na kuupdate tovuti yako kama vile upo kwenye Microsoft word! Angalia picha hapa chini.
6.
High loading speed, tovuti yako itakuwa na uwezo wa kufunguka kwa spidi kubwa na ya ajabu, yaani ukibonyeza tu imefunguka na siyo kama zingine huko kwenye mtandao tovuti/blog inakuwa nzito mpaka unawaza sijuwi uweke modem mbili?.
7.
Mobile website (tovuti inayoonekana kwenye simu). Miaka ya karibuni watu wengi na wanazidi kuongezeka kila siku wanaperuzi mtandao kwa kutumia simu na siyo kompyuta tena, sasa tovuti hii yako itaweza kuonekana kwenye aina zote za simu kwa uzuri kabisa ikiwa na maandishi, picha na fomu zote bila kuhitaji kuvaa miwani.
8.
24/7 Customer Service, ukihitaji msaada au maelekezo nipo hapa kukusaidia muda wowote nipigie tu simu na nitakuwa tayari kukusaidia.
9.
E-Commerce intergrated, kama utahitaji kutumia hiyo tovuti yako kuuza bidhaa zako au za wengine basi utawekewa mfumo huo bila shida yeyote.
Haya mwenye kuhitaji hii huduma anipigie sasa kwenye 0769142586, email
info@fadhilipaulo.com au bonyeza
hapa.