Ofa ofa new Tecno L8 bei sawa na bure...

totole

Senior Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
140
Reaction score
25
WEWE TU USHINDWE KUMILIKI SMART PHONE YA KIJANJA.
Tecno L8 mpya haijafunguliwa full box
battery =5050mAh(uwezo wa kukaa na charge 1 week bila kuwasha DATA na 3days DATA ON)
camera=8.0 to 2.0mp
memory=16GB
RAM=1GB
bei laki 180 Fixed price...
ZIMEBAKI 5 WAHI SASA
 
uzuri wa hii simu ina reverse charging ila kwenye RAM hapo hapana
 
Tupiamo tu picha kina Tomaso turidhike
 
IPOJE HIYO,KWA SIE TUSIO JUA SIMU UTUWEKEE NA PICHA MKUU
 
Nadhani ungeitoa kwenye box na kuipiga picha ingependeza zaidi
sasa mm nauza full box sija fungua na ninayo sample ambayo naitumia so ukiafikiana n sample nakupa box lako unalifungua mwenyew unanipa changu..
 
hiii ndo ninayo tumia n L8 nadhan umesha iona sasa..ukitaka unapewa mpya haija funguliwa kwenye box
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…