Ofa kwa wanaopenda kutokelezea

richenriques

Senior Member
Joined
Jun 6, 2015
Posts
188
Reaction score
33
Japo hili si jukwaa la matangazo ila kwa kuwa wapenda mitindo wengi wapo humu naomba kuwapa ofa hii... Gauni size ni medium material ya kuvutika hata kibonge kias anavaa, nauza 35000 nakutumia popote, pochi nyeusi plain 30,000, pochi ya pink na nyeusi ya maua 28000, boots 50,000 zipo size 43 tu, sandals 23000 zipo size 42-44 ....napatkana dodoma karibuni
 
dodoma sehem gan? na vipi surual za kiume, mashati? mi pia nipo dom.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…