ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,881
- 60,912
Masaa 2,PM 340 hahaZa asubuhi ndugu zangu Mimi nawapenda Sana Wana jf yaani nawachukulia Kama ndugu zangu kabisa marafiki wa karibu.mimi mwenzenu Jana shimo limetema nimeshinda bet Kuna hela nimepata nyingi tu Kama million 17 hivi.sasa nimeona milioni tatu nisaidie jamii yenye uhitaji nikafikiria nikaona pia nitenge million moja kwa ajili ya wana jf hivyo yoyote mwenye shida kidogo anione PM nimrushie kidogo sio mbaya japo tugawane tulichobarikiwa.njoo PM kwa kuandika namba yako ya simu iwe NI tigo pesa au m pesa.kutoa ni moyo SI utajiri
________________
________________
UPDATES
Naona PM yangu inazidi kufurika nilisahau kuwaambia Mimi nilipanga nitoe kwa watu Mia moja tu ila mpaka kufikia Sasa nimepokea meseji zaidi ya 340..kwa hivyo inanibidi nibadili gia angani kwamba kipaumbele sasa itakuwa ni wadada tu.wanaume nyie kausheni tu endeleeni kuniombea nipate ile bilioni moja nitawagaia hata members wote.
Asanteni
Kutoa ni imani ya mtu, Moyo ni kitu kingine kabisaZa asubuhi ndugu zangu Mimi nawapenda Sana Wana jf yaani nawachukulia Kama ndugu zangu kabisa marafiki wa karibu.mimi mwenzenu Jana shimo limetema nimeshinda bet Kuna hela nimepata nyingi tu Kama million 17 hivi.sasa nimeona milioni tatu nisaidie jamii yenye uhitaji nikafikiria nikaona pia nitenge million moja kwa ajili ya wana jf hivyo yoyote mwenye shida kidogo anione PM nimrushie kidogo sio mbaya japo tugawane tulichobarikiwa.njoo PM kwa kuandika namba yako ya simu iwe NI tigo pesa au m pesa.kutoa ni moyo SI utajiri
________________
________________
UPDATES
Naona PM yangu inazidi kufurika nilisahau kuwaambia Mimi nilipanga nitoe kwa watu Mia moja tu ila mpaka kufikia Sasa nimepokea meseji zaidi ya 340..kwa hivyo inanibidi nibadili gia angani kwamba kipaumbele sasa itakuwa ni wadada tu.wanaume nyie kausheni tu endeleeni kuniombea nipate ile bilioni moja nitawagaia hata members wote.
Asanteni
AhahaZa asubuhi ndugu zangu Mimi nawapenda Sana Wana jf yaani nawachukulia Kama ndugu zangu kabisa marafiki wa karibu.mimi mwenzenu Jana shimo limetema nimeshinda bet Kuna hela nimepata nyingi tu Kama million 17 hivi.sasa nimeona milioni tatu nisaidie jamii yenye uhitaji nikafikiria nikaona pia nitenge million moja kwa ajili ya wana jf hivyo yoyote mwenye shida kidogo anione PM nimrushie kidogo sio mbaya japo tugawane tulichobarikiwa.njoo PM kwa kuandika namba yako ya simu iwe NI tigo pesa au m pesa.kutoa ni moyo SI utajiri
________________
________________
UPDATES
Naona PM yangu inazidi kufurika nilisahau kuwaambia Mimi nilipanga nitoe kwa watu Mia moja tu ila mpaka kufikia Sasa nimepokea meseji zaidi ya 340..kwa hivyo inanibidi nibadili gia angani kwamba kipaumbele sasa itakuwa ni wadada tu.wanaume nyie kausheni tu endeleeni kuniombea nipate ile bilioni moja nitawagaia hata members wote.
Asanteni
ππππ Dada waeza kuta saa nyingine hakuna hata aliyetia maguu huko Pm.Mkuu hongera kwa kuwa mbunifu na style yako ya utongozaji mm nakupa hongera tu na watu wako waliojaa pm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dada waeza kuta saa nyingine hakuna hata aliyetia maguu huko Pm.
Sababu siku hizi wanawake wanaodanganyika kirahisi naona kama wameshaisha kwa kweli.
Apambane na pesa zake.
Hahahaaaaa. Nimecheka kwa sauti ujue Dada.Hahahhaha inawezekana dada akee eti elf 10 nawaza tu ndio unaenda pm sijui unasemaje au unaanza salaam mkuu habari nimekuja naomba hiyo elf 10 hapana jamani acha nikufwe na shida zangu sio kulialia jf