[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo sasaaYeye si ndo rais?
Wafuasi wake asilimia 73 ya Wakenya nao wapimwe akili?Huyu jamaa apimwe akili.....uchaguzi si ulirudiwa akala kona hv sasa anataka tena uchaguzi?
Duh!Wafuasi wake asilimia 73 ya Wakenya nao wapimwe akili?
Ndo baba etu mdogo huyuu.....hahahahhhhh......rais anataka uchaguzi tena achaguliwe kiwa rais......Majanga haya jamani!
Propaganda my footAnapo fanya mkutano Uhuru Park, Kibera hubaki bila watu. Waliojaza huo uwanja ni wajaluo wote wa Kibera.
About 100,000 of them.
Alafu propaganda uwache. Kama una haja ya kucompare apples with apples, tafuta picha za inauguration ya Uhuru. Wachana na picha za kitambo.