ODDS KAMILI

ju ma nchuki

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2018
Posts
205
Reaction score
96
Wapendwa kila sku nafatwa whatsaap kuwa wao wanatoa odds za mechi ambazo ziko complete kuwa hazi feli na zikifeli anazifidia kwa mechi zingine sas nata kuuliza kwel wapo na niwa kwel na utawezaje kumjua wa kwel naomba msaaada na kama kuna mtu amejiunga nao anielekeze au aje pm tuyajenge kikamilifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga ndo waliwao! Kama wanaweza kwanini wasibet wao wakunje mpunga wa maana!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninazo bro japokuwa ni za madafu kwani tangu nibeti sja wahi kula kula kwahiyo nisaidie napatikana dar
Hahaaaaa unanichekesha sanaa uyoo unaye muomba mwenyewe anapigwa vibaya na mhindi,, usimwamwini mtu kwenye kubet, fuatilia mwenyewe Lig zielewe ukishaziamini mech weka mzigo, mpira n dakika 90 ,hakuna mtu anayejuaga matokeo, so n kubahatisha tuuu,, bettttttttinggg n pasua kichwaa
 
hiyo pesa ya kubet ukiitunza vizuri itakufaa sana kujianzishia biashara ndogo ndogo ambayo haitakupa wasiwasi wa kichwa na mwili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…