Sipendi ubabe,
lakini wati mwengine ni vizuri mbabe mmoja akajulishwa kuwa ana size yake.kilichotokea hapa Marekani amekumbushwa mipaka ya ubabe wake. hauwezi kwenda kwenye uwa wa mbabe mwenzio halafu akutizame tu.
Unyanyasaji wa aina hiyo tunafanyiwa sisi kina hohehahe. RUSSIA is another level. Siberian plains only can keep that country alive for thousands of years let alone their Arctic holdings, Hawaiogopi Marekani kwa sababu yoyote ile. hizi hadithi za vikwazo etc wanatishiwa njaa kali kama Uganda, TZ, Syria etc.
Duo ya RUSSIA and CHINA is more than enough to keep OBAMA quite and make him think hard and long.