aha aha aha .....Dramalicious Israel ikiamua kufanya kitu inafanya bila ata ruhusa ya US ikifanya maeneo mengi lakini linapogusa kwenye suala la IRAN ni drama tu kwani hata pentagon ilishawaambia hamna uwezo wa kuivamia Iran na mkabaki salama na mbaya zaidi Iran alishaweka msimamo kua kama akivamiwa ataviripua vituo vyote vya kijeshi vya US so Marekani anajua uwezo wa IRAN ila dogo wake hajui anajua kakaake atamsaidia vita ikianza.