Navyojua Iran will never trust US and US is one of its no 1 enemy especially when u look at history.Sijui Kama Iran nuclear ni propanganda.Huwa najiuliza hilo swali cause karibuni Iran ilikataa kabisa kukaguliwa kwenye nuclear site yao,I believe ni nchi ambayo ina uwezo mkubwa sana in advancing technology.Iran Ingekuwa haina sanctions Iam sure uchumi wake ungetisha kwa Kuwa vizuri.Nina mashaka na cooperation yeyote between the two countries,I don't see any implementation.Can US sacrifice alliance among Israel,Saudi,UAE just to cooperate with Iran?Hizo nchi hazitaki kabisa US awe Karibu na Iran.I don't know what is Obama trying to achieve.