Marekani wakiingiza Jeshi la ardhini ISIS itabaki historia, wapiganaji wengi wa ISIS hawana mbinu za kijeshi, wengi wanatokea nje ya nchi kama raia wa kawaida, nguvu zao za kupigana zimekuwa motivated na dini, wanadhani wanampigania Allah kumbe ni evil spirit inawa drive