Kuna wakenya flani humu jamvini wanajitapa eti watatumia fursa kupata mchongo na Obama. Sasa sijui hiyo fursa itapatikana wapi kama mambo yenyewe ndio kama haya. Tusubiri tuone.Hii haikutokea Obama alipokuja bongo...hapo ni kama kenya hakuna serikali....
Kuna wakenya flani humu jamvini wanajitapa eti watatumia fursa kupata mchongo na Obama. Sasa sijui hiyo fursa itapatikana wapi kama mambo yenyewe ndio kama haya. Tusubiri tuone.
Hata akienda Afghanistan Obama huwaga anakaa muda mrefu zaidi. Hali ya usalama ya Kenya kwa sasa ni majanga matupu, ingawa jamaa bado tu wanajikaza kisabuni.Hakuna fursa wala nn..yani mtu wanaesema ni mkenya kashindwa ata kulala usiku mmoja nyumban kwake...!!!???
SMH
trip yake ina cost 2mn$ only figure out if all this things can cost 2mn$ before comments
Africa is a really sad continent - as in Japan was winning the war its just that usa figured How to make nuclear weapons before Germany by 102days right now Germany and japan would be way ahead of usa
We need prayers as Africans now why should usa control airspace?????
Sai if a country like south africa comes up with a way to control nuclear aftermath or prevent nuclear weapons from destroying property south africa will be a superior power than usa instead of writing all this bullshit put ur mind up and figure out a way to control nuclear weapons from being effective that will essentially put usa Russia and China out of "super power" club.... Vietnam won the war against American soldiers, somalis won the war, the British and French once we're superior than usa usa was not a major power till heroshima and nagasaki during world war 2 usa lost more soldiers than France in Iraq ground forces of usa were finding it hard to over power the Iraqis and had to use the enormous airforce...... USA bila nuclear na airforce ni bure
Chalii wacha kukurupuka... inaonekana ni sifa yenu kukurupuka mukikutana na challenge aina yeyote kama vile mulivyokurupuka kuvamia Somali (mwiba huo ushawachoma).
Soma tittle... hii kitu ni swali... JE NI KWELI...
kama haujuwi ungelikaa kimya au ungelicomment kama wengine kakaa.
Hata hivyo... hio dream ya kuwa super power continent is a good one... one i would love to see made into a reality.
Ila after ability to neutralise the nuclear threat we need the ability to neutralise their Navy capabilites and have superior air defence capabilities....
we jamaa hujielewi kama ngoso n shinda kwako njo kenya usome kama wajinga wenzako
Nije Kenya kusomea nini? How to be a Nyang'au? How to be a corrupt leader? How to conduct planned killings of my fellow citizens? How to get into a fight without proper intel?
No thank you... to allnof those.
Turudi kwenye mada husika!
Manyang'au yanashoboka kwa huyu jamaa basi tu. Anakaa masaa 8 tu ikimaanisha halazi mgongo wake kenya wakati wao wataweka siku 3 bila kazi
corrupt leaders???ok i wont negate,kama tz hakuna hizo shinda zote umesema zko kenya then where r u guys,ur supposed to very far, kusema ukweli hapo haujatumia akili, tz is worse than kenya