Sidhani kama itatulazimu kupiga deki barabara zetu hapa Nairobi, ila nafahamu ombaomba wataondolewa wote na usalama utaimarika maradufu. kadoda11 omba aje na huko ili mji uwe msafi tena.
Nini hujaelewa hapo, kawaida jamii za barabarani "street families" huondolewa anapokuja jamaa kama huyu, hata huko kwenu waliondolewa wote barabara zikabaki safi ungedhani ughaibuni.