Obama atarudi lini?

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,341
Reaction score
12,068
Hiyo ndo jinsi hali ilivyo katika kituo cha daladala za Muhimbili pale Buguruni, nahisi huyo jamaa akirudi viongozi wetu watajihimu kusimamia usafi wa maeneo haya!
 

Attachments

  • 1427732753979.jpg
    81 KB · Views: 1,762
Hiyo ndo jinsi hali ilivyo katika kituo cha daladala za Muhimbili pale Buguruni, nahisi huyo jamaa akirudi viongozi wetu watajihimu kusimamia usafi wa maeneo haya!

 
Nilidhani unasema Yesu atarudi lini, kumbe kuna ujio wa Obama huko mbele ya safari!!!!!!!!!!! Watawala wa Africa wanamsubiri kumwabudu
 
Jiji letu linapokuja suala la usafi bado kitendawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…