Hivi sasa tunazo drones?1. Terrorism
2. Somali Pirate
3. Deploy drones in DRC
4. Good governance
5. Human rights
6. Continue support to fight HIV/AIDS, TB & Malaria (GFHTM)
Anakuja kusisitiza
1. Utawala Bora
2. Haki za Binaadamu
3. Mapambano dhidi ya Maralia
4. Mapambano dhidi ya Ukimwi
5. Political stability in the East African Region.
6. Zikiambatana na msisitizo wa Nia ya Marekani kuendelea kuisadia Tanzania.
Mambo ya Mikataba ya Kibishara, wakina William & co will take care of, na kwa sababu ni wafanyabiashara, it will always happen in the best interests of the People of USA.
Approach ya Marekani kwenye Kuiexploit Africa haihusishi serikali yao moja kwa moja, na ni bora tungeendelea na hawa sababu tunaexperience ya ushenzi wote waliokwishatufanyia kuliko sasa tulipoanza kujiingiza kwenye madili na serikali ya China, it is going to take us additional 50 years to find out we are being used.
Thanks to Mtwara correction.