O.J Simpson Release

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
7,466
Reaction score
13,031


"Asante!, Asante!...Oh! Mungu" alisema Simpson mwenye miaka 70 huku akiweka mikono juu kuonyesha alama ya ushindi, akiwa na dada yake Shirley ambayo alikuwa akilia.
Atatolewa October kwa Parole na kutakiwa kuwa na tabia nzuri kwa miaka5. Anatakiwa kumaliza kifungo mwaka 2022.


LOVELOCK, Nev. -- O.J. Simpson was granted parole Thursday after more than eight years in prison for a Las Vegas hotel heist, successfully making his case in a nationally televised hearing that reflected America's enduring fascination with the former football star.

With the ruling, the 70-year-old Simpson, who was convicted in 2008 of an armed robbery involving two sports memorabilia dealers in a Las Vegas hotel room, could be out of prison as early as Oct. 1 after serving the minimum nine years of a 33-year sentence.

When the final vote to grant parole was read after parole commissioners deliberated just over 30 minutes, Simpson lowered his head and then raised it up with a big smile...

O.J. Simpson is granted parole after serving 9 years for Vegas robbery
 
Mzee wa matukio. Ile ya mkewe Nicole murder case ilimkosakosa kidogo. Au wazungu walimzushia hii baada ya kukosa ushahidi?
 
Hivi hii parole ya hapa bongo inafanya nini?

Mzee wa kilaracha amelala?
 
Nakumbuka wakt ule akifukuziwa na wale LAPD PATROL. KM 6 hivi zikimfukuzia si mchezo huyu mtu,wivu kupita kiasi mpk kupelekea kuuwa,kisha yeye kufungwa km miaka 20 hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…