mwachewangu Senior Member Joined May 4, 2011 Posts 111 Reaction score 41 Sep 3, 2013 #1 Nyumba Ambayo iko Kibaha kwa Matias...Ilipo shule ya Filbert Bay Two House in One Plot. Na sehemu ya Kupaki Gari Ndogo Zinauzwa zote Kwa Sasa Bei ya Milioni 90Tsh(MILIONI TISINI), kutoka bei ya awali. Kwa Kuona Vizuri Picha Click Apo Chini Hermes Power Inc: 90M(Tsh): HOUSES FOR SALE AT KIBAHA. Kwa Maelezo Zaidi au Mawasiliano +255 713 547228 Attachments 1.jpg 46.5 KB · Views: 110 2.jpg 33.6 KB · Views: 115 3.jpg 41.5 KB · Views: 105 4.jpg 18.9 KB · Views: 92 5.jpg 29.4 KB · Views: 84 6.jpg 36.8 KB · Views: 90 8.jpg 30.7 KB · Views: 84 9.jpg 12.3 KB · Views: 83 10.jpg 20.3 KB · Views: 86 11.jpg 43.8 KB · Views: 88 12.jpg 44.2 KB · Views: 92 13.jpg 24.6 KB · Views: 86 14.jpg 56.6 KB · Views: 87
Nyumba Ambayo iko Kibaha kwa Matias...Ilipo shule ya Filbert Bay Two House in One Plot. Na sehemu ya Kupaki Gari Ndogo Zinauzwa zote Kwa Sasa Bei ya Milioni 90Tsh(MILIONI TISINI), kutoka bei ya awali. Kwa Kuona Vizuri Picha Click Apo Chini Hermes Power Inc: 90M(Tsh): HOUSES FOR SALE AT KIBAHA. Kwa Maelezo Zaidi au Mawasiliano +255 713 547228
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,280 Sep 3, 2013 #2 Ungeweka picha vzr mkuu ili mtu aweze kuona the whole view at once otherwise kwa picha zako hizo ni ngumu kureflect aina nyumba na jinsi.zilivo ukubwa
Ungeweka picha vzr mkuu ili mtu aweze kuona the whole view at once otherwise kwa picha zako hizo ni ngumu kureflect aina nyumba na jinsi.zilivo ukubwa
mwachewangu Senior Member Joined May 4, 2011 Posts 111 Reaction score 41 Sep 3, 2013 Thread starter #3 Jile79 said: Ungeweka picha vzr mkuu ili mtu aweze kuona the whole view at once otherwise kwa picha zako hizo ni ngumu kureflect aina nyumba na jinsi.zilivo ukubwa Click to expand... Mkuu Kwa Kuona Picha Vizuri click hii link chini Hermes Power Inc: 90M(Tsh): HOUSES FOR SALE AT KIBAHA.
Jile79 said: Ungeweka picha vzr mkuu ili mtu aweze kuona the whole view at once otherwise kwa picha zako hizo ni ngumu kureflect aina nyumba na jinsi.zilivo ukubwa Click to expand... Mkuu Kwa Kuona Picha Vizuri click hii link chini Hermes Power Inc: 90M(Tsh): HOUSES FOR SALE AT KIBAHA.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Sep 3, 2013 #4 mkuu nyumba yako very classic ila imekuwaje ukainyima nafasi ya kupumua aisee? Kiwanja sqm ngapi hiki mkuu?
mkuu nyumba yako very classic ila imekuwaje ukainyima nafasi ya kupumua aisee? Kiwanja sqm ngapi hiki mkuu?