H HIBISCUS 80 JF-Expert Member Joined Jun 18, 2020 Posts 1,058 Reaction score 1,229 Oct 24, 2020 #21 Extra miles said: Watakuzunguka waiuze wao ukiweka picha ya nje. Atakayeitaka atakuja pm Click to expand... Kwa kipi Sasanyumba zimejaa Dar zinauzwa Kama karanga Tena bila madalali
Extra miles said: Watakuzunguka waiuze wao ukiweka picha ya nje. Atakayeitaka atakuja pm Click to expand... Kwa kipi Sasanyumba zimejaa Dar zinauzwa Kama karanga Tena bila madalali
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,516 Reaction score 6,919 Oct 24, 2020 #22 Extra miles said: Watakuzunguka waiuze wao ukiweka picha ya nje. Atakayeitaka atakuja pm Click to expand... Washamba hawaishii
Extra miles said: Watakuzunguka waiuze wao ukiweka picha ya nje. Atakayeitaka atakuja pm Click to expand... Washamba hawaishii
Mr chapu chapu Member Joined Sep 11, 2020 Posts 52 Reaction score 22 Oct 24, 2020 Thread starter #23 Shark said: Hiyo mitaa + Hizo Rangi = Jenga Uza, Hivi ni kwanini mitaa hiyo wasingekua wanapaka tu rangi za kawaida? Yaani nini kinawafurahisha kwenye hizo Rangi wanazopakaga? Click to expand... Piga simu uulize hilo swali nitakujibu vizuri
Shark said: Hiyo mitaa + Hizo Rangi = Jenga Uza, Hivi ni kwanini mitaa hiyo wasingekua wanapaka tu rangi za kawaida? Yaani nini kinawafurahisha kwenye hizo Rangi wanazopakaga? Click to expand... Piga simu uulize hilo swali nitakujibu vizuri
Mr chapu chapu Member Joined Sep 11, 2020 Posts 52 Reaction score 22 Oct 24, 2020 Thread starter #24 Freyzem said: Naomba nipate mawasiliano ya huyo aliyesimama getini nje, naamini huyo atakuwa anaifahamu vizuri hiyo nyumba! Kama ni mkazi wa humo ndani itapendeza zaidi...huyo ndio naweza kufanya nae biashara! Click to expand... Nipigie simu nikupe hizo namba za huyo mtu
Freyzem said: Naomba nipate mawasiliano ya huyo aliyesimama getini nje, naamini huyo atakuwa anaifahamu vizuri hiyo nyumba! Kama ni mkazi wa humo ndani itapendeza zaidi...huyo ndio naweza kufanya nae biashara! Click to expand... Nipigie simu nikupe hizo namba za huyo mtu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,396 Reaction score 195,228 Oct 24, 2020 #25 Unauza sebule au nyumba? Cc: mahondaw
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,894 Reaction score 52,486 Oct 24, 2020 #26 HIBISCUS 80 said: Kwa kipi Sasanyumba zimejaa Dar zinauzwa Kama karanga Tena bila madalali Click to expand... Hutujui madalali vizuri.
HIBISCUS 80 said: Kwa kipi Sasanyumba zimejaa Dar zinauzwa Kama karanga Tena bila madalali Click to expand... Hutujui madalali vizuri.