Ziko Tungi na Kisota, Umbali wa kama KM 4 na 4.5 kutoka feri.
Nyumba ya kwanza ina vyumba 4 kimojawapo kikiwa ni Self contained, masterbedroom, Sebule, Dining, public toilet na jiko.
Ina tiles na Mapangaboi ndani, maji na umeme vipo na ina parking space ya magari 3 au 4.
Kodi yake ni laki 3 na inalipiwa mwaka mzima.
Ya pili ina vyumba 2 na sebule. Chumba kimojawapo ni self, iko fully tilled, ikiwa ndani ya fence na parking ya magari 2.
Kodi yake ni 200,000 kwa mwezi.
Mwenye kuhitaji karibu PM.