NANGAI MSUMI
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 146
- 94
Hizi kwa gheto la kugegedwa warembo tamu sanaChumba kimoja cha kulala ambacho ni master,jiko, ukumbi. Na ndan Kuna Min supermarket inajengwa . zipo nyumba Tisa sehem moja. Mazingira mazur, zinajitegemea maji na umeme. Kodi ni 200,000/= Kwa mwezi.View attachment 2194706View attachment 2194710View attachment 2194709View attachment 2194708View attachment 2194707
HahahahaHizi kwa gheto la kugegedwa warembo tamu sana
Sema ipo kigamboni sehem ganiWeka number za simu bsi
Yeah.ila engineer amesema Kama mtu atakuwa na Familia na Kwa sababu jiko ni kubwa Sana anaweza kulifanya jiko Kuwa chumba Cha kulala pia, na jiko utatengezewa kwenye kikolido.Kwahiyo ina chumba kimoja tu cha kulala...!?
Yeah.ila engineer amesema Kama mtu atakuwa na Familia na Kwa sababu jiko ni kubwa Sana anaweza kulifanya jiko Kuwa chumba Cha kulala pia, na jiko utatengezewa kwenye kikolido.
Hatari...hizi zimekaa kibachelor kwa wazee wa kugegeda tuuHuyo engineer hakujua tangu mwanzo kwamba kuna familia zingine kubwa hadi nyumba zote 9 akajenga chumba kimoja? Engineer?
Baada ya Nyumba kuanza kujengwa na kupokea baadhi ya maoni ya watu nafikili ndo wakasjauriana kuwa Kwa atayehitaji. Basi atafanyiwa vyumba viwili vya kulala.Huyo engineer hakujua tangu mwanzo kwamba kuna familia zingine kubwa hadi nyumba zote 9 akajenga chumba kimoja? Engineer?
Na ww njoo uchukue yako Sasa mkui. Uanze kuwagegeda. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hatari...hizi zimekaa kibachelor kwa wazee wa kugegeda tuu
Mie nataka full furnished yaani naingia na begi langu tuuNa ww njoo uchukue yako Sasa mkui. Uanze kuwagegeda. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Izo zpo laki tano Kwa mweziMie nataka full furnished yaani naingia na begi langu tuu
Haya ndio maneno sasa...yaani hapo mrembo akiingia kite full furnished tayari kashaliwa huyo. Hizi zipo maeneo gani mzeyaIzo zpo laki tano Kwa mwezi
Kwa mwaka million 6.