Vitu muhimu kuvijua kabla!
1. Bei elekezi: maelewano yanakuja baada ya kuweka bei elekezi
2. Picha za nyumba husika
3. Umbali kutoka kituoni
4. Umeme ni luku au mita
5. Fafanua kwenye maji, je ni dawasco au ya kununua
6. Umezungumzia geti bila kusema kama kuna parking ya magari
7. We ni dalali au mwenye nyumba ndo dalali?
Kila la kheri