Habari wana jf,natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala ,sittingroom,choo na jiko bajeti yangu ni 250000 tu.kwa anayefahamu zilipo naomba anijulishe
Hiyo bei ndogo sana kwa maeneo hayo ... ila huwez jua maana kila mtu na bahati yake.
Ukipata niunganishe na dalali wako plz naweza nikampatia wateja wa bei hiyo