wadau natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya sinza ,mwenge ,kijitonyama ,iwe na fence ya ajili ya parking ya magari mwenye taarifa nijuze humu then nita ku pm
nyumba ninayo sinza e ina vyumba 3 master1 sebule stoo, jiko, public toilet, dinning ina fensi parking kubwa, imekamilika na ni ya kisasa yaani tiles, gypsum na pavement vipo contact 0712868672 au 0714104788