BIA BORA Senior Member Joined Oct 21, 2013 Posts 144 Reaction score 164 Jul 18, 2014 #1 wakuu natafuta nyumba ya kupanga TABATA, Vyumba vitatu, master bedroom and two guest rooms. iwe na uzio pia parking ya kutosha. Budget yangu ni TSH 300,000 kwa mwezi. Kama una nyumba yako unapangisha please ni inbox no yako ya sim nikupigie asanteni
wakuu natafuta nyumba ya kupanga TABATA, Vyumba vitatu, master bedroom and two guest rooms. iwe na uzio pia parking ya kutosha. Budget yangu ni TSH 300,000 kwa mwezi. Kama una nyumba yako unapangisha please ni inbox no yako ya sim nikupigie asanteni