Nyumba ya kupanga sinza

diego91

Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
44
Reaction score
6
Jaman msaada kama naweza pata nyumba nzuri ya kupanga sinza na kwa bei gan
 
Weka Budget kiwango cha chini laki sita unapata
 
Chunga! Sinza ni kwa WAJANJA. usije kutuambia umelizwa hapo baadaye!
 
Mimi sio dalali naishi Sinza nafahamu bei ya nyumba za kupanga huko, hivyo kwa budget ya 150,000 una pata room self contained. sahau kupata nyumba nzima kwa bei hiyo hata kimara hupati
 
Mimi sio dalali naishi Sinza nafahamu bei ya nyumba za kupanga huko, hivyo kwa budget ya 150,000 una pata room self contained. sahau kupata nyumba nzima kwa bei hiyo hata kimara hupati

Nmekupata
 
pandisha mitaa ya makongo juu au tabata bila wasiwasi utapata nyumba sio chumba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…