C chigwiye JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 352 Reaction score 59 Aug 22, 2012 #1 Waungwana nahitaji nyumba ya kupanga Moro mitaa ya Kola,msamvu ama Mjini kati.arimradi iwe na uzio.Hata chumba na sebule sawa.Na kama kuna ambayo ni full furnished ni nzuri zaidi
Waungwana nahitaji nyumba ya kupanga Moro mitaa ya Kola,msamvu ama Mjini kati.arimradi iwe na uzio.Hata chumba na sebule sawa.Na kama kuna ambayo ni full furnished ni nzuri zaidi