Kweli Sasa SERIKALI Kuu Au Zile Halmashauri, Zikomae Ktk Suala La KUKUSANYA KODI Ktk Biashara Hii!!! KUNA Pesa Nyingi Mno!! NA Kwa KODI Hiyo Ya Laki 2.5 Kwa Mwezi, Bado Mwenye Hizo Nyumba Atahitaji Kulipwa KODI Ya Miezi 6 Au 12!!! NA DALALI ALIPWE Laki 2.5 Pia!! SASA Kama DALALI Analipwa Pesa Hiyo, Why Serikali Zenye Ardhi Zimelala Fofofoo!!!