TheBuilder
JF-Expert Member
- Apr 21, 2014
- 237
- 212
Kama unayo niambie ni kiasi gani.Nitarudi soon, budget yako kiasi gani?
Thanks, nitamtafuta.0713111821 kama uko serious mtafute huyu dalali..
Nikupe budget yangu au wewe uniambie inapangishwa kwa bei gani?Mm ninayo ww ndo unaenda kukata seal. Iko na kila kitu nimechimba na kisima maji safi bariiidii na salama. Yaan dah ilivyotam nashindwa hata kueleza. Nipe bajet yako
zipo tano zinarange laki 5-6, niPm ukiwa interested.Kama unayo niambie ni kiasi gani.
Ok, nitakutafuta.zipo tano zinarange laki 5-6, niPm ukiwa interested.
Kigamboni nyumba laki 5-6?zipo tano zinarange laki 5-6, niPm ukiwa interested.
niliona kuna ya milion 2.Kigamboni nyumba laki 5-6?
Nitafute ipo karibu na darajan vijibweni. 250000 pungufu unaongea 0679982881Nahitaji nyumba ya kupanga yenye vyumba vya kulala vitatu (3), iwe kuanzia maeneo ya Tuangoma mpaka Kibada, isiwe mbali sana na barabara kuu. Ni vyema ikawa na umeme lakini hata kama haina umeme ni sawa, nitajua ni jinsi gani ya kusolve hiyo issue.
Au maeneo ya Tungi Kigamboni.
Asante kwa ushirikiano.
Umechelewa...we nilikupotezea maanake uwezekano wa kuku upgrade ni mkubwa sana!niliona kuna ya milion 2.
bado hujapata dada uniajiri jamani [emoji14]
wewe umepanga bei gani?Kigamboni nyumba laki 5-6?
Sijapanga.wewe umepanga bei gani?
Ni PM kuna nyumba twangoma Mimi sio dalaliNahitaji nyumba ya kupanga yenye vyumba vya kulala vitatu (3), iwe kuanzia maeneo ya Tuangoma mpaka Kibada, isiwe mbali sana na barabara kuu. Ni vyema ikawa na umeme lakini hata kama haina umeme ni sawa, nitajua ni jinsi gani ya kusolve hiyo issue.
Au maeneo ya Tungi Kigamboni.
Asante kwa ushirikiano.