Habari wana JF!
Kuna nyumba inapangishwa jijini Arusha.
Nyumba hiyo ni mpya kabisa, ikiwa na vyumba viwili vya kulala(kimoja masterbed room), sitting room, dinning room, kitchen, public toilet .
pamoja na maji na umeme wa uhakika.
Nyumba iko na fensi na geti la uhakika.
location :MOshono
bei ya kupanga : 250,000/= kwa mwezi
utatakiwa kulipa walau miezi 6 ila maongezi yapo.
Karibuni