Nahitaji kwa haraka nyumba ya kupanga mbezi beach, iwe na vyumba 3 kimoja kiwe master na iwe kwenye fence na mazingira mazuri. Kama unayo nitumie ujumbe au nipigie au ni whatsapp kwenye +255769142586
Pia nahitaji kiwanja mbezi beach hiyo hiyo cha 30*50 au 40*70. Kama unacho nitumie ujumbe au nipigie au ni whatsapp kwenye +255769142586