Nyumba ya kupanga inahitajika

Logik

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
32
Reaction score
4
Habari,

Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Tangi bove/Afrikana/Jogoo/Mwenge au Makumbusho. Iwe na vyumba viwili vya kulala kimaoja master, sebule na jiko. BAJET NI 170000/= inaweza kuongezeka kutokana na mandhari ya nyumba yenyewe.
ni PM kama unayo

Asanteni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…