Habari zenu JF Members,
Inahitajika nyumba ya kupangisha....iwe either kinondoni,kawe au mikocheni..mpangaji ni single.iwe na choo cha ndani,jiko, sebule na chumba cha kulala.PM me (na rent kwa mwezi)tafadhali kama unafahamu au unaweza kunisaidia .
thanks.