mamsindo Member Joined Jan 8, 2010 Posts 36 Reaction score 28 Dec 4, 2014 #1 Inahitajika nyumba ya kupanga haraka jijini Dar. Maeneo Kijitonyama Kinondoni Makumbusho Mikocheni B. Mwananyamala Komakoma Aina ya nyumba: Iwe na vyumba 2 vya kulala(kimoja kiwe master) sebule jiko choo cha jumuiya Umeme wa luku inayojitegemea Maji Kwa mwenye nyumba wasiliana na 0714 686 686
Inahitajika nyumba ya kupanga haraka jijini Dar. Maeneo Kijitonyama Kinondoni Makumbusho Mikocheni B. Mwananyamala Komakoma Aina ya nyumba: Iwe na vyumba 2 vya kulala(kimoja kiwe master) sebule jiko choo cha jumuiya Umeme wa luku inayojitegemea Maji Kwa mwenye nyumba wasiliana na 0714 686 686
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,684 Dec 4, 2014 #2 Una bei gani?
dalalitz JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 3,476 Reaction score 2,087 Dec 5, 2014 #3 mamsindo said: Inahitajika nyumba ya kupanga haraka jijini Dar. Maeneo Kijitonyama Kinondoni Makumbusho Mikocheni B. Mwananyamala Komakoma Aina ya nyumba: Iwe na vyumba 2 vya kulala(kimoja kiwe master) sebule jiko choo cha jumuiya Umeme wa luku inayojitegemea Maji Kwa mwenye nyumba wasiliana na 0714 686 686 Click to expand... Hapo kwenye mkolezo pamenivutia zaidi. Akina sisi (dalalis) hatutakusumbua mkuu ingawa tunazo za kumwaga.
mamsindo said: Inahitajika nyumba ya kupanga haraka jijini Dar. Maeneo Kijitonyama Kinondoni Makumbusho Mikocheni B. Mwananyamala Komakoma Aina ya nyumba: Iwe na vyumba 2 vya kulala(kimoja kiwe master) sebule jiko choo cha jumuiya Umeme wa luku inayojitegemea Maji Kwa mwenye nyumba wasiliana na 0714 686 686 Click to expand... Hapo kwenye mkolezo pamenivutia zaidi. Akina sisi (dalalis) hatutakusumbua mkuu ingawa tunazo za kumwaga.
mamsindo Member Joined Jan 8, 2010 Posts 36 Reaction score 28 Dec 6, 2014 Thread starter #4 Bei iwe kati ya 200-300
mamsindo Member Joined Jan 8, 2010 Posts 36 Reaction score 28 Dec 6, 2014 Thread starter #5 Samahani, namaanisha 200,000:- mpaka 300,000:-, asante