anssy_b New Member Joined Oct 16, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Oct 22, 2014 #1 Wakubwa natafuta nyumba ya kununua iliyo kwenye ghali yoyote, yenye vyumba vitatu, jiko, Store na Siting room, yenye thamani ya shilingi milioni 10 za kitanzania. Maeneo, Kinondoni, Magomeni, Ubungo ama Sinza.
Wakubwa natafuta nyumba ya kununua iliyo kwenye ghali yoyote, yenye vyumba vitatu, jiko, Store na Siting room, yenye thamani ya shilingi milioni 10 za kitanzania. Maeneo, Kinondoni, Magomeni, Ubungo ama Sinza.
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,058 Reaction score 10,517 Oct 22, 2014 #2 Ukipata hata kiwanja kwa bei hiyo uniambie.