Nyumba ya kununua inahitajika

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Habari zenu?
Nahitaji nyumba ya kununua, Tanga mjini au maeneo ya jirani.
Sifa za nyumba.
Iwe eneo salama, kusiwe na mafuriko
Umeme na maji yawepo
Nyumba iwe na angalau vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko, dinning nk
Iwe haina mgogoro wowote na isiwe na alama X.
Mwenye nyumba yenye sifa hizo njoo PM.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…