Nyumba ya kisasa inauzwa

Basi nunueni hizo nyumba za us Hehehehe
Nyie mnafikiri kwann kila mtu anauza nyumba yake obay au masaki ni kwa sababu ya hela kubwa wanayopewa,na wanunuzi wengi ni wahindi ma wazungu na waarabu period
 

Watu wanaaza kukimbia nchi maana hali ya kisiasa kwa sasa haieleweki
 
Basi nunueni hizo nyumba za us Hehehehe
Nyie mnafikiri kwann kila mtu anauza nyumba yake obay au masaki ni kwa sababu ya hela kubwa wanayopewa,na wanunuzi wengi ni wahindi ma wazungu na waarabu period

Nyumba zenyewe si walipewe tu bei ya kutupwa kutoka kwa BEN na mister ZERO
 
Nyumba nzuri ....wazee wa vijisent wanalifanyia kazi tangazo lako
 
Nyumba zenyewe si walipewe tu bei ya kutupwa kutoka kwa BEN na mister ZERO

Ndy hivyo ....haya nyumba national housing za magomeni, kino hizo nazo walipewaga sahv wengine wanauza 400 wengine 250 wengine 170 etc, wenye hela wanawavua tusiokuwa nazo tunaishia kulalamika tu
 



naomba namba yako ya simu msee
 
Naifahamu sana hiyo nyumba niliwahi ifanyia valuation. Dah kumbe mwarabu kaamua kuuza. Ni nzuri sana na ina facilities high class. Mkuu naruhusiwa kuitafutia Mteja.?
 
Nyumba nimeipenda ila nikitaja fedha niliyonayo nitaambiwa ndoroooobo mkubwa.....bora nikae pembeni niwapishe wazee wa vijisenti.
 
Bilioni Mbili Marekani unaweza pata nyumba ya aina gani?
mfano Atlanta?
cc Nyani Ngabu
Tanzania ni zaidi ya ujuavyo,unakumbuka kashfa ya twin tower za BoT?Fedha za ujenzi zinauwezo wa kujenga majengo kama yale matano London!Watakuwa haohao kind of
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…