Nyumba inauzwa maeneo ya Boko. Ni nyumba ya kisasa kabisa yenye eneo kubwa la kupaki hata gari 5, ina fensi nzuri kabisa kama inavyoonekana kwa picha hapo chini. Tuwasiliane kwa namba hii kwa maelekezo Zaidi 0654715457.
nimejaribu sna kuweka picha lakini siajafakiwa.
nyumba inauzwa kwa bei ya tsh 180 ml..ni vizuri endapo ukaona picha na kutambua hadhi ya nyumba yenyewe..