Nyumba ya kisasa inauzwa

Maliselo

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
233
Reaction score
30
Nyumba ya kisasa inauzwa, ni self container, ipo lumo sigara Dar, ina kiwanja kikubwa, vyumba 5, nyumba ya uwani pia zipo yenye vyumba 4,na sebule 2, haipo mbali sana kufikia barabara kuu, ina urahisi wa kuingia gari, BEI Mill 200 for more 0758319588
 
Tubadilishe unipe nyumba nikupe shamba lipo kinyerezi
 
How many bathrooms and hw big is the kitchen haya ndo ya muhimu kwangu
 

Ukubwa wa kiwanja na picha ya nyumba tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…