BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,088
- 2,174
Natafuta shamba hekari 5Bei Inanzia Elfu 60 hadi 20 kutokana na ubora na sifa ya vyumba mkuu
Sifa ni kama uwepo wa tiles,choo ndani jiko, fence gypsum na thamani huongezeka n.k
Maeneo gani ya kigamboni mkuuNatafuta shamba hekari 5
Chumba na sebule kwa laki kiwe sehemu nzuri choo kisiwe cha kushea na watu wengi na kama ipo ndani ya geti pia niambieBei Inanzia Elfu 60 hadi 20 kutokana na ubora na sifa ya vyumba mkuu
Sifa ni kama uwepo wa tiles,choo ndani jiko, fence gypsum na thamani huongezeka n.k
Milion 15 mkuuKiwanja kigamboni kibada 30mx30m napata kwa bei gani na gharama zako ni kiasi gani?
NB: NAOMBA UNIJIBU HAPA HAPA
Mkuu unamaaniaha chumba na sebule choo ndani?Chumba na sebule kwa laki kiwe sehemu nzuri choo kisiwe cha kushea na watu wengi na kama ipo ndani ya geti pia niambie
Kiwanja kigamboni kibada 30mx30m napata kwa bei gani na gharama zako ni kiasi gani?
NB: NAOMBA UNIJIBU HAPA HAPA
Kipo cha bei gani?Mkuu unamaaniaha chumba na sebule choo ndani?
Kwa sasa sina ya laki moja
PM majanga si pa kupazoea kabsa[emoji23][emoji23][emoji23] kijana unaogopa PM
[emoji28] [emoji28] Huko unanyongwa kimya kimya hupati mteteziPM majanga si pa kupazoea kabsa
Ninacho cha laki moja na nusuKipo cha bei gani?
Milion 23Mm nataka chenye hati 1200sqm kibada