Nyumba Pagala Inauzwa

Muhamala

Senior Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
101
Reaction score
88
Nyumba yenye kiwanja chenye ukubwa wa hatua 20 x 13 kipo sala sala ya kilimahewa unaingilia Mbuyuni barabara ya Bagamoyo, Nyumba ina vyumba viwili na jiko.
Umeme na maji vipo.

Kiwanja hakijapimwa.

Bei ni Millioni 15.5

Mawasiliano kwa mtu alie serious tu: 0714812151

Hakuna Dalali.





















 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…