Nyumba ipo Bomangombe Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro Ngalawa Road, nyumba bado ni mpya na ina room nne za kulala. Ambazo mbili ni master, ina sebule kubwa, jiko, stoo pamoja na dining.
Bei yake ni 90,000,000/= tu. Bei ni fixed. Kama unahitaji hii Nyumba Piga Simu 0757252165.
Mlemi ingefaa sana km ungesema iko mkoa gani na ungetuwekea picha zake. Ni Ushauri Tu Ila Mimi kwa Sasa hivi Sina hela Mambo yangu hayajakaa sawa bado.
Mleta uzi ni kama umepagawa vileee yaan hujajitosheleza kweny kila mahali katika maelezo yako. Ili watu wasikutulie shaka jaribu kutulia ulete taarifa kamili juu ya Mali unayouza