Nyumba inauzwa iko Tabata Kinyerezi ina vyumba vinne kimoja ni master bado haijamalizika,na ina ukubwa wa squire meter 1200,bei ni milioni 130 na mazungumzo yapo
kwa mawasiliano zaidi piga 0714358610
Hahaha,yaani siku hizi wauza nyumba za urithi wamecharuka,kilamtu bei hataji ni PM kwenda mbele.
Haya watakuja,lakini nyumba haina jirani ,ukikabwa utajiju

Nyumba inapangishwa ni mpya iko Tabata Kimanga inavyumba viwili kimoja ni master,public toilet,jiko car parcking ya kutosha,maji masaa yote luku ya kwako
bei ni 450000/=kwa mwezi
mawasiliano 0714358610