Hahahaha. Sasa Kisasa hapo kuna nini kipya cha bei hiyo... Hizo nyumba hadi zilipofikia ni chini ya 4m zote. Kiwanja eneo la kisasa zilipo hizo nyumba ukubwa wa 1000 square meter ni chini ya 15m... Ukipewa 60m mnunuzi kajilazimisha sana mkubwa... na bati hizo za dragon hahahaha. Kila jema mkuuMbona unaweza kununua kiwanja peke zaidi hata ya pesa hiyo? Kama hujui biashara wapishe wanaelewa hii biashara ya Nyumba na viwanja.
Daaah 4m! Mkuu umewai kujenga?Hahahaha. Sasa Kisasa hapo kuna nini kipya cha bei hiyo... Hizo nyumba hadi zilipofikia ni chini ya 4m zote. Kiwanja eneo la kisasa zilipo hizo nyumba ukubwa wa 1000 square meter ni chini ya 15m... Ukipewa 60m mnunuzi kajilazimisha sana mkubwa... na bati hizo za dragon hahahaha. Kila jema mkuu
40m mkuu, keyboard ilitema 0 hahahahah. Mkuu nimejenga sana tu, na hapa namalizia ya tatu.Daaah 4m! Mkuu umewai kujenga?
Kama una Kiwanja kisasa kilicho na Sqm 1000± kisasa nijulishe nitanunua kwa 17mil hata kama unavyo zaidi ya kimojaHahahaha. Sasa Kisasa hapo kuna nini kipya cha bei hiyo... Hizo nyumba hadi zilipofikia ni chini ya 4m zote. Kiwanja eneo la kisasa zilipo hizo nyumba ukubwa wa 1000 square meter ni chini ya 15m... Ukipewa 60m mnunuzi kajilazimisha sana mkubwa... na bati hizo za dragon hahahaha. Kila jema mkuu
Hao ni halali lakini sio wapiga dili. Hao wana leseni za biashara kwa kazi hiyo. Uwakala wao unatambulika.Ze heby, dunia ya leo kila jambo lina mawakala wake, tatizo watu wanatafsiri mbaya. Kwani udalali ni dhambi au ni jinai?
Commercial agent au Auctioneers wote kwa tafsiri ya kawaida ni madalali na kuna makampuni na yana leseni zinazotolewa na kutambuliwa na serikali
Hata sisi tuna leseni, Tin na OfisiHao ni halali lakini sio wapiga dili. Hao wana leseni za biashara kwa kazi hiyo. Uwakala wao unatambulika.
Sqm moja 8000-10,000/ kutegemea na mahali Kiwanja kilipoWeka bei mkuu
Ndugu, hii ni kampuni na ina vibali na nyaraka zote. Karibu sana.Hao ni halali lakini sio wapiga dili. Hao wana leseni za biashara kwa kazi hiyo. Uwakala wao unatambulika.