IPO KARIBU NA KIJITO NYAMA KITUO CHA POLISI.........NI NYUMBA YA KISASA KABISA NI NYUMBA YA TATU TOKA BARABARA YA LAMI IENDAYO SAYANSI K NYAMA CONTACTS
0714812375
0784562131 email:joseengowi@gmail.com
Kwahiyo hapo ndiyo umemaliza kuitangaza hiyo nyumba!na kama sijakosea hapo juu nimeona kama vile you are a senior member!sawa kaka subiri wenye kujua kukuelekeza nini cha kufanya waingie maana wengine maneno yao yana maudhi mpaka utajutia kwanini hukutia nyama za kutosha kwenye tangazo lako.
Toa picha za nyumba kwa kona zote, pia ndani, urefu na upana wa kiwanja kisha weka bei hewani. Harafu ndo utuwekee namba za siku zako; why should i call you for something that i wont afford, think again.